Mfinanga Jr
|Subscribers
0
Liked videos
Tamthiria ya SHUJAA ni tamthiria ambayo inaburudisha na kuelimisha twende tukaone....
Master PortLee anapendana sana na mwanafunzi wake wa kike ambaye pia ni askari Policer, Port Lee ameahidi kumuoa, Portlee anasafiri Kwenda nchini China, PortLee anarudi na Mpenzi Mwingine dada mrembo wa Kichina.
Fuatilia Kisa Hiki cha Kusisimua.....
Show more