Top videos
nyimbo nzudi
A CRY FOR MAMA ni moja ya Filamu nzuri sana ambayo imewahi kufanyika na Mashindo Jumanne, Fuatilia filamu hii ndani ya ukurasa wetu wa BONGOSHARE
Filamu ya OFF SIDE ni Filamu nzuri sana
Salvina n i Filamu nzuri sana yenye ujumbe mzito juu ya upendo
Fuatilia mkasa huu ndani ya Ukurasa wetu wa BONGOSHARE
Vichwa Maji
Moja ya Filamu iliyofanya vizuri sana ya Marehemu Steven Kanumba
INEVITABLE LOVE ni Filamu iliyowakutanisha wakali wa sanaa nchini Tanzania Rose Ndauka pamoja na Mzee Hashimu Kambi ni Filamu nzuri sana
KASANGA NAE MWANA imewakutanisha wakili wawili GABO ZIGAMBA na NIVA SUPER MARIOO ni Bonge moja ya Filamu
Maajabu akiyoyafanya Hayati Mzee Majuto ndani ya KIBOKO KABISA usikose kuona vituko vya NISHA,BENNY BRANCO na HEMEDY CHANDE ni rahaa tupu! Aaaaaah Aaaaaaah
Tazama urembo na uwezo wa WEMA SEPETU ndani ya Filamu yako pendwa ya LERATO akiwa pamoja na SINGLE MTAMBALIKE, JACOB STEPHEN (JB), pamoja na Hayati ADAMU KUAMBIANA ni moja ya Filamu nzuri sana
THE GLORY RAMADHANI ni m oja Filamu ambayo iliwakutanisha Ray Kigosi pamoja na Mzazi mwenzake Chuchu Hans ni Filamu nzuri sana!!!! Fuatilia ndani ya ukurasa wetu wa Bongoshare
Mfahamu Hayati Stevene Kanumba uwezo aliokuwa nao kwenye Tasnia ya Filamu Tanzanzia!!
Bonge moja la Filamu ambayo imeandaliwa vizuri sana kuanzia stori mpaka waigizaji
FAMILY DISASTER ni Filamu ambayo imefan ya vizuri sana Chini ya Masta wetu wa Tanzania
Unamjua Afande Chacha fuatilia Filamu hiii ujionee vulugu alizofanya Hemedy Phd pamoja Riyama Ally!!! Katikka ukurasa wetu wa BONGOSHARE
007 BOYS ni Bonge la Filamu la mapigano ambalo limefanyika wa na wasanii wetu maarufu nchini Tanzani fuatilia Filamu hii ndani ya Ukurasa wetu wa BONGOSHARE
BAD ATTITUDE filamu iliyojaa mikasa mingi sana fuatilia fimalu hii katika ukurusa wetu wa BONGOSHARE
APPLE ni Filamu nzuri sana inayozungumzia mapenzi
BED REST
ARNOLD VUGA ni Filamu iliyojaa mapigano ya hali ya juu ambayo yamefanyika na wasanii maarufu wa hapa nyumbani Tanzania fuatilia mkasa huu ndani ya ukurasa wetu wa BONGOSHARE