Entertainment
DAD'S SIN SBT ni Filamu nzuri ya mapambano makali sana
Unamjua malkia wa bongo movie WEMA SEPETU amefanya balaa kubwa sana akiwa na PETER MSECHU hii ni bonge ya FILAMU fuatilia mkasa huu ndani ya ukurasa wetu wa BONGOSHARE
CHUNTAMA ni nini, ni nani usikose kufuatilia Filamu hii nzuri ya kuelimisha na kuburudisha kwenye ukurasa wetu wa BONGOSHARE.........
Kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia mawasiliano ambayo yapo kwenye ukurasa wetu
NAKWENDA KWA MWANANGU ni Filamu ambayo Hayati Mzee MAJUTO alifanya vizuri sana akiwa ameshirikiana na JACOB STEVEN (JB)
Fuatilia mkasa unaozungumzia JIWE je unajua ni jiwe gani linalozungumziwa
Mfahamu Hayati Stevene Kanumba uwezo aliokuwa nao kwenye Tasnia ya Filamu Tanzanzia!!
Maajabu akiyoyafanya Hayati Mzee Majuto ndani ya KIBOKO KABISA usikose kuona vituko vya NISHA,BENNY BRANCO na HEMEDY CHANDE ni rahaa tupu! Aaaaaah Aaaaaaah
Salvina n i Filamu nzuri sana yenye ujumbe mzito juu ya upendo
Fuatilia mkasa huu ndani ya Ukurasa wetu wa BONGOSHARE
Muonekano Halisi wa Logo ya Bongoshare! Fuatilia ukurasa wa Bongoshare uwe wa kwanza kutazama Tamthilia, Filamu na Makala tofauti za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania
Zijue Ngoma na Tamaduni za Asili yako kwa kutembelea ukurasa wetu wa Makumbusho ndani ya Bongoshare
WELCOME
Kapaya - Bongoshare promo