Other
DANGER ZONE ni nyakati za hatari ambazo VICENT KIGOSI alikutana nazo kwa kosa mauaji ambayo aliyafanya kwa kushirikiana na rafiki yake DR CHEN
โฃCHUNGU KIMOJA mtazame Hayati King Mjuto ndani ya Filamu hii ya โฃCHUNGU KIMOJAโฃCHUNGU
โฃBIKIRA KIDAWA unamjua โฃBIKIRA KIDAWA njoo ujionee
โฃARNOLD VUGA ni Filamu iliyojaa mapigano ya hali ya juu ambayo yamefanyika na wasanii maarufu wa hapa nyumbani Tanzania fuatilia mkasa huu ndani ya ukurasa wetu wa BONGOSHARE
โฃBED REST
โฃAPPLE ni Filamu nzuri sana inayozungumzia mapenzi
โฃBAD ATTITUDE filamu iliyojaa mikasa mingi sana fuatilia fimalu hii katika ukurusa wetu wa BONGOSHARE
โฃ007 BOYS ni Bonge la Filamu la mapigano ambalo limefanyika wa na wasanii wetu maarufu nchini Tanzani fuatilia Filamu hii ndani ya Ukurasa wetu wa BONGOSHARE
โฃA CRY FOR MAMA ni moja ya Filamu nzuri sana ambayo imewahi kufanyika na Mashindo Jumanne, Fuatilia filamu hii ndani ya ukurasa wetu wa BONGOSHARE
Unamjua Afande Chacha fuatilia Filamu hiii ujionee vulugu alizofanya Hemedy Phd pamoja Riyama Ally!!! Katikka ukurasa wetu wa BONGOSHARE
Bonge moja la Filamu ambayo imeandaliwa vizuri sana kuanzia stori mpaka waigizaji
Karibu kusikiliza wimbo wangu unaenda kwa jina la #niwewe Young Don ft Winnie
Tazama urembo na uwezo wa WEMA SEPETU ndani ya Filamu yako pendwa ya โฃLERATO akiwa pamoja na SINGLE MTAMBALIKE, JACOB STEPHEN (JB), pamoja na Hayati ADAMU KUAMBIANA ni moja ya Filamu nzuri sana
โฃINEVITABLE LOVE ni Filamu iliyowakutanisha wakali wa sanaa nchini Tanzania Rose Ndauka pamoja na Mzee Hashimu Kambi ni Filamu nzuri sana
INZI PROMO
Kisasi Cha Mwisho
Dj Ben akifanya maajabu
Gabo Zigamba alivyoteswa na mapenzi
Mapenzi ni kitu cha kuheshimiwa
Neno la Mungu ni Uzima wa milele linaponya
MAMA NTILIE PROMO