Bongo Series
Huu ndio MTAA KWA MTAA moja ya Filamu iliyobeba mastaa kibao wa Tanzania kama HEMEDY (PDP), NISHA, TAUS, DIANA na wengine wengi fuatilia mkasa huu ndani ya ukurasa wetu wa BONGOSHARE
โฃTHE GLORY RAMADHANI ni m oja Filamu ambayo iliwakutanisha Ray Kigosi pamoja na Mzazi mwenzake Chuchu Hans ni Filamu nzuri sana!!!! Fuatilia ndani ya ukurasa wetu wa Bongoshare
Tamthiria ya SHUJAA ni tamthiria ambayo inaburudisha na kuelimisha twende tukaone....
SHUJAA ๐
Tamthilia Ya Kusisimua Kutoka Kampuni ya KAPAYA THE GREAT FILMS, Chini ya Muandaaji na muigizaji mahiri wa Filamu Michael Kapaya , โฃkutoka Kanda ya ziwa (GEITA).